{"id":1112648,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112648/?format=json","text_counter":134,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Sisi tunatoa wito na kuisihi Kamati itakayoshughulikia suala hili, ichunguze kwa makini na waweze kuja na suluhisho ya kudumu. Tuko katika msimu wa pili wa ugatuzi ambao unakaribia mwisho wake. Kama watu hawajalipwa na Serikali iliyopita na bado"}