{"id":1112651,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112651/?format=json","text_counter":137,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Bi. Spika wa Muda, wakati huu ni wa kiangazi na hakuna pesa katika Kenya hii. Taarifa hii imetolewa na Seneta ni ya muhimu sana. Ni Bunge la Seneti peke yake ambayo inaweza kwenda kuokoa watu kutoka janga hili la p ending bills . Hizi pendingbills zinawaathiri watu wengi katika kaunti zetu. Watu wa kaunti yangu wameathirika sana. Ninaomba Serikali ifuatilie jambo hili kwa makini na ijulikane ni nini pending"}