{"id":1112653,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112653/?format=json","text_counter":139,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"hazilipwi. Kwa nini watu hawapati pesa zao? Kwa nini watu wanaendelea kuwa na shida? Bi. Spika wa Muda, ninaunga mkono Taarifa hii. Ninaomba suala hili lifanyike hala hala ili kuokoa Wakenya wengi ambao wamefanya kandarasi ya Serikali."}