{"id":1120161,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120161/?format=json","text_counter":429,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nakubaliana kwa ukamilifu kwa mapendekezo yote nane ambayo yametolewa katika ripoti hii. Ni mwanzo tu wa kuweza kuondoa donda hili ambalo limekuwa sugu katika nchi yetu. Ajira ughaibuni---"}