{"id":1120581,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120581/?format=json","text_counter":30,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Ninaunga mkono lugha hiyo wakati wanapoisherehekea kwa sababu tunaishi na watu hao; ni ndugu zetu na watu ambao lugha hii yao inafaa ipewe kipaumbele katika shule na vyuo vikuu ili ikuzwe."}