{"id":1120837,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120837/?format=json","text_counter":286,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Gona","speaker_title":"","speaker":{"id":13176,"legal_name":"Christine Zawadi Gona","slug":"christine-zawadi-gona"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Pia nimesimama kuunga mkono Hoja hii ya kuwashtumu Mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kawi na mwezake Waziri wa Madini na Mafuta."}