{"id":1121236,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121236/?format=json","text_counter":372,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"vinafanywa na polisi. Ningependelea kusema ya kwamba, ni vyema ikiwa polisi wataambiwa kwamba mambo ya kupiga watu risasi, kuua watu au kuangamiza wananchi yakome. Yasiweze kutokea tena katika maeneo yetu ya Pwani."}