{"id":1121640,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121640/?format=json","text_counter":56,"type":"speech","speaker_name":"Lamu CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Rueida Obo","speaker":{"id":786,"legal_name":"Ruweida Mohamed Obo","slug":"ruweida-mohamed-obo"},"content":" Hon. Deputy Speaker, I am sorry, I will not withdraw. Sheria zichukuliwe lakini hii ni Petition na Petition zingine wanaleta nyingi nyingi hatasio nzuri. Kuna watu wanaoumia kule. Wakati wa election ndio wanafanya hivi vituko."}