{"id":1121833,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121833/?format=json","text_counter":249,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. (Ms.) Mishi Mboko","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"Kwa hakika, kama Wakenya, tunajua kuwa unapofika miaka 60, unastaafu. Kuna wale ambao hustaafu kabla ya miaka 60 ndiposa kukawa na mikakati ya s cheme ya pensheni . Lakini, kumekuwa na changamoto nyingi sana. Wakenya wengi wamepata shida sana mikononi mwa maofisa tofauti tofauti katika mradi huu wa pensheni . Kuna ile tunayoita kwa Kiingereza"}