{"id":112247,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/112247/?format=json","text_counter":304,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Lakini tumeamua ya kwamba tutakaa, tuzungumze kwanza, tuelewane, kisha tusimame hapa tufanye majadaliano kwa njia ambayo ni ya kuleta maelewano katika nchi na sio kuvurugana."}