{"id":1129918,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129918/?format=json","text_counter":147,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa mfano, kudhibiti vyombo vya kuhifadhi samaki wanapovuliwa kwa wingi, barabara katika sehemu ambazo wanavuvi wanavua na zile bandari zinapokea samaki wale, hazijapewa kipaumbele katika maendeleo ya uchumi samawati."}