{"id":1129919,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129919/?format=json","text_counter":148,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa Muda, sisi watu wa Pwani tuna tumbojoto kuhusiana na ripoti zilizotolewa kuwa sehemu ya bandari ya Kenya itabinafsishwa kupitia shirika la Kenya National Shipping Line ambalo limeingia mazungumzo na shirika la Mediterranean Shipping Company (MSC)."}