{"id":1129920,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129920/?format=json","text_counter":149,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Mwaka jana kulitolewa Executive Order ambapo mashirika ya Kenya Ports Authority (KPA), Kenya Railways Corporation (KRC) na Kenya Pipeline Company (KPC) yaliletwa pamoja na Industrial and Commercial Development Corporation (ICDC) ambalo ni taasisi ya Serikali ili kuwa na usimamizi moja, kupitia kwa Wizara ya Fedha."}