{"id":1133936,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1133936/?format=json","text_counter":171,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante Naibu Spika wa Muda. Kwa kweli, wenzangu walikuwa wananiambia kwamba niombe msahama, lakini kwa sababu nilikuwa na uhakika kwamba nilitoa heshima zangu..."}