{"id":1135651,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135651/?format=json","text_counter":190,"type":"speech","speaker_name":"Sen. M. Kajwang’","speaker_title":"","speaker":{"id":13162,"legal_name":"Moses Otieno Kajwang'","slug":"moses-otieno-kajwang"},"content":"Sheria ya pili ilikuwa ni kuhakikisha ya kuwa kuna utaratibu mwafaka wa kushirikiana kati ya Serikali ya juu na serikali ya chini, haswa kwa kugawana mamlaka."}