{"id":1135677,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135677/?format=json","text_counter":216,"type":"speech","speaker_name":"Sen Wetangula","speaker_title":"","speaker":{"id":210,"legal_name":"Moses Masika Wetangula","slug":"moses-wetangula"},"content":"Bw. Spika, Mungu yuko na Mungu hubaki Mungu, hana jina lingine. Wale wakorofi waliotaka kuvuruga chama chetu cha FORD-Kenya, walishindwa vibaya. Tukikutana na wale ambao walikuwa wanawaunga mkono, wana haya na hawataki kutusalimia. Wanatoroka wakituona kila mahali tukienda."}