{"id":1135681,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135681/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Sen Wetangula","speaker_title":"","speaker":{"id":210,"legal_name":"Moses Masika Wetangula","slug":"moses-wetangula"},"content":"Bw. Spika, tukiangalia nyuma, ile funzo tumesoma ni kujua ya kwamba katika mabishano ya kisiasa, uchaguzi ukiisha tunabaki kuwa Wakenya na lazima tuendelee kufurahia na kujivunia kuwa Wakenya."}