{"id":1135706,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135706/?format=json","text_counter":245,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Prof.) Kamar","speaker_title":"","speaker":{"id":33,"legal_name":"Margaret Jepkoech Kamar","slug":"margaret-kamar"},"content":"Bw. Spika, la mwisho ni kutakia kila mtu heri, fanaka na Krismasi njema, sio tuu kutakia Maseneta, bali pia watu wa Kaunti ya Uasin Gishu, wenye walinileta hapa. Nawatakia Krismasi njema na mwaka mpya wa baraka kutoka kwa Mweneyezi Mungu."}