{"id":1135779,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135779/?format=json","text_counter":30,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Inasema katika hali ambazo jambo lolote halijaelezwa waziwazi katika Kanuni hizi au kwa amrizingine za Bunge la Taifa, basi Spika ataamua utaratibu wa kufuatwa"}