{"id":1136973,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1136973/?format=json","text_counter":499,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Jane Chebaibai","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Elgeyo/Marakwet (CWR), JP): Watu wameuawa na wenzao, lakini hakuna mtu amechukua maanani kabisa. Leo tumekuja kuketi hapa ili watu watutukane. Tumekuja kuketi hapa tuzungumzie mambo ambayo inadhulumu taifa la hustlers . Tumenyanyaswa kwa muda mrefu katika taifa la Kenya. Watu wa Elgeyo/Marakwet na Kerio Valley wamekufa. Tumezungumzia jambo hilo hapa, lakini hakuna mtu anatia maanani. Naona tunapoteza wakati leo."}