{"id":1137505,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1137505/?format=json","text_counter":436,"type":"speech","speaker_name":"Elgeyo/Marakwet CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Jane Chebaibai","speaker":null,"content":" Hakuna siku viongozi wa taifa letu la Kenya wamechukua nafasi ya kutuita kwa mkutano wa dharura ili tuzungumzie mambo ambayo yanatuhusu, na wale watu ambao wamenyanyaswa. Kila mara, tunauliza maswali na tunatengeneza sheria ambayo inaumiza watu wa Elgeyo/Marakwet."}