{"id":1144774,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1144774/?format=json","text_counter":293,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":{"id":1612,"legal_name":"Bady Twalib Bady","slug":"bady-twalib-bady"},"content":"Kwa niaba yangu, kwa niaba ya familia yangu na kwa niaba ya wananchi wangu wa Jomvu, natuma rambirambi zetu kwa wale waliopata mkasa wa moto kule Mvita. Pia mimi binafsi, natuma pole kwa ndugu yangu, Abdullswamad Sheriff Nassir, Mbunge wa Mvita."}