{"id":114767,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114767/?format=json","text_counter":261,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"La pili, Bw. Naibu Spika wa Muda, sisi hivi sasa tuko katika hiki chamber k i nachoitwa Old Chamber . Hapa ndipo tarehe ya Taifa letu la Kenya kujinyakulia Uhuru kwa mara ya kwanza, ilipotengenezwa kupitia Sheria za nchi hii. Hii Old Chamber ina"}