{"id":114791,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114791/?format=json","text_counter":285,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Yakub","speaker_title":"","speaker":{"id":378,"legal_name":"Sheikh Yakub Muhammad Dor","slug":"sheikh-dor"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna swala muhimu ambalo Rais amekuwa akilitaja mara kwa mara katika Hotuba yake; Wabunge kujitolea kwa dhati kuwahudumia wananchi wa Kenya. Haya ni mambo ambayo, mara kwa mara, tunapaswa kujikumbusha kama Wabunge."}