{"id":114793,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/114793/?format=json","text_counter":287,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Yakub","speaker_title":"","speaker":{"id":378,"legal_name":"Sheikh Yakub Muhammad Dor","slug":"sheikh-dor"},"content":"Vile ilivyotokea mpaka tukaonyeshwa kwenye vyombo vya habari maziwa yakimwagwa chini, tunailaumu Serikali. Serikali ina uwezo wa kuyanunua maziwa yale na kulipia gharama kiwanda cha Kenya Co-operative Creameries (KCC) au hata viwanda"}