{"id":1151153,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1151153/?format=json","text_counter":68,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante sana, Mhe. Spika. Ninajiunga na wewe kuwakaribisha wageni kutoka Machakos katika Seneti. Pia, tunampongeza Seneta wenu Sen. Kavindu Muthama kwa kuwaalika ili muweze kuona vile Bunge la Seneti linafanya kazi yake."}