{"id":1157332,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1157332/?format=json","text_counter":80,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Sen. Khaniri ameangazia swala la uchafuzi wa Mto Mara ambao unatishia kivutio cha utalii ambacho ni the Mara Migration . Ni jambo la kutia moyo kwamba kuna wananchi ambao bado wanaona umuhimu wa pesa zinazotokana na utalii."}