{"id":1160788,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160788/?format=json","text_counter":54,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Halake","speaker_title":"","speaker":{"id":13184,"legal_name":"Abshiro Soka Halake","slug":"abshiro-soka-halake"},"content":"Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ili pia kuungana na wenzangu kuwapa pole watu wa Uganda na Bunge la Uganda kwa kumpoteza Spika wao."}