{"id":1160829,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160829/?format=json","text_counter":95,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Bw. Spika wa Muda, namshukuru kakangu, Seneta kutoka Kaunti ya Kitui kwa kunikosoa. Ni jambo ambalo, kwa kweli kabisa hili ni Bunge la Seneti ambalo ni senior au una mamlaka kushinda Bunge la Kitaifa."}