{"id":1160863,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160863/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"alikuwa akiamrisha ya kwamba hiyo ndio ripoti itakayowasilishwa, ilikuwa kwenye lugha ya Kiingereza. Naomba ufuate maagizo."}