{"id":1161513,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161513/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"zimeenda juu wakati wa “ handshake” . Nataka kumweleza ya kwamba “ handshake” ilikuja baadaye. Hata mtu akitaka kupata mtoto, mama akishika mimba, inachukua miezi tisa ndipo azae. Kwa hivyo, sisi tukiingia wakati wa “ hand shake”, ile mimba ya ule ubaya ilikuwa iko tayari."}