{"id":1161515,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161515/?format=json","text_counter":111,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Asiseme saa hizi. Sisi tumekuja tukaipata juu tu. Asiseme kwamba, fertilizer imeenda juu baada ya watu kufanya “ hand shake” . Fertilizer bei yake ilikuwa juu wakati uleule wakiwa wao wakiharibu serikali wakati ule wa miaka minne ya kwanza."}