{"id":116232,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/116232/?format=json","text_counter":339,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, Waziri Msaidizi anawaomba watu warudishe bunduki lakini ni bunduki gani inarudishwa wakati watu wanaangamizwa katika operesheni? Kwa nini operesheni inafanywa katika jamii fulani pekee yake?"}