{"id":1163538,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163538/?format=json","text_counter":51,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Kwa hivyo, ni walimu ambao wanatakikana kupewa heko. Lakini ni jambo la kusikitisha leo tukiona ya kwamba mahali kama Kaunti ya Nyamira wanaweza kuwafuta"}