{"id":1163750,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163750/?format=json","text_counter":263,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Pia natoa wito kwa vijana na watu wengine walio na nguvu na waliobahatika. Kabla hatujasukuma Serikali kusaidia wazee, wao pia wanafaa kuangalia wazee. Kila mtu anafaa kushughulikia mzee wake."}