{"id":1165798,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165798/?format=json","text_counter":204,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"haina haja ya kulipisha kodi. Kama Kwale imeweza kulipisha kodi, Mombasa haina haja ya kulipisha kodi ili wananchi waweze kupata bidhaa kwa urahisi na bei nafuu."}