{"id":1169107,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169107/?format=json","text_counter":98,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Olekina kuhusiana na ongezeko la mafuta na usimamizi wa mafuta ya petroli katika nchi yetu."}