{"id":1169310,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169310/?format=json","text_counter":301,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi, Spika wa Muda, nikimalizia, ijapokuwa ipo sheria ya watoto kwa sasa ina changamoto nyingi. Kwa mfano, ni wakati mtoto amefiliwa na mzazi wake na anchukuliwa na nyanya au babu kuangaliwa."}