{"id":1169312,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169312/?format=json","text_counter":303,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Nafikiri Sheria hii itafanya mambo hayo kuwa mepesi. Mtu ambaye ameondokewa na mtoto wake na akaachiwa wajukuu kuangalia itakuwa rahisi kupata idhini ya kumwezesha kusimamia watoto wale kikamilifu."}