{"id":1169426,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169426/?format=json","text_counter":55,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, nasimama kuunga mkono Ripoti ya Kamati ya Fedha ambayo imewasilishwa katika Bunge la Seneti mchana wa leo na Sen. Farhiya ambaye ni Mheshimiwa wa kamati hio. Asante, Bw. Spika."}