{"id":1169632,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169632/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa Muda, kulingana na tarakimu ambazo zilisomwa Bungeni, kutakuwa na upungufu wa karibu Kshs800 billion. Hizi zinatakikana ziweze kupata ufadhili ama ulipaji ili ndio bajeti iweze kuwa sawa sawa."}