{"id":1174376,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174376/?format=json","text_counter":1121,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Mishi Mboko","speaker_title":"","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"Vile vile, tumeona ya kwamba mashirika thelathini yetu ya Serikali hayakupata umiliki wa majengo na ardhi yao. Kwa mfano, kuna Shirika la Reli, ama Kenya Railways . Nyumba na ardhi zao nyingi zimechukuliwa na watu binafsi kiholela. Hiyo ni rasilimali ya Wakenya, lakini imechukuliwa kiholela."}