{"id":1175340,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175340/?format=json","text_counter":319,"type":"speech","speaker_name":"Trans Nzoia CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Janet Nangabo","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":" Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza natoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kutulinda katika nchi yetu hii ya Kenya."}