{"id":1175343,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175343/?format=json","text_counter":322,"type":"speech","speaker_name":"Trans Nzoia CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Janet Nangabo","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":"Nashukuru Mhe. Pukose kwa sababu amekuwa katika Kamati ya Umeme katika Bunge hili. Hakika tunaona matunda yake kule kwetu. Namshukuru sana kwa sababu alifanya kazi nzuri sana kama Naibu Mwenyekiti."}