{"id":1175365,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175365/?format=json","text_counter":344,"type":"speech","speaker_name":"Taita Taveta CWR, JP","speaker_title":"Hon. Hon. (Ms.) Haika Mizighi","speaker":{"id":13274,"legal_name":"Lydia Haika Mnene Mizighi","slug":"lydia-haika-mnene-mizighi"},"content":"Mhe. Spika, changamoto kubwa ambayo ilinikera sana hapa Bungeni ni wakati nilipoona sisi kama Wajumbe tukisimama sana na vyama na vinara na kuwapuuza wananchi na haki zao The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}