{"id":1175497,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175497/?format=json","text_counter":73,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Mimi, Bw. James Kamau Murango, nikiwa nimechaguliwa kama mwanachama wa Seneti, naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu kwamba nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa watu na Jamuhuri ya Kenya na Rais wangu William Samoei Ruto. Kwamba nitatii---"}