{"id":1175983,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175983/?format=json","text_counter":559,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Niko na raha kwamba kijana kutoka Ganze, eneo Bunge la Magarini, Kaunti ya Kwale, anaweza kuwa katika Serikali tena katika kiti ambacho anaweza kufanyamaamuzi ya mageuzi."}