{"id":1176643,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176643/?format=json","text_counter":474,"type":"speech","speaker_name":"Sen Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Mambo ya kuruka upande huu na kuanza kununua wanasiasa ni jambo la aibu. Utapata kiongozi aliyechaguliwa na wananchi akifika bungeni, anageuza msimamo wake na kuwa rangi nyingine; anaenda upande ambao hakuchaguliwa kwa ajili ya kusisitiza maslahi yake. Ninawaambia ndugu zangu ambao wako na tabia kama hizi waziwache. Hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na msimamo."}