{"id":1181045,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181045/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Kwa hivyo, jambo la kwanza tunapaswa kuzingatia na kuangalia kwa undani ni Wakenya wanaoishi Kilifi na sio hao pekee yao ambao wanaoishi penye miti hii ya mibuyu"}