{"id":1181055,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181055/?format=json","text_counter":95,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Kwa hivyo, Bw. Spika, Kamati yetu ambayo najua taarifa hiyo utaelekeza kwao, wanapaswa watafute suluhu za kudumu ndio tuweze kupata manufaa mpaka milele."}